Friday, November 20, 2015

UMUOMBE MUNGU LYRICS AND TRANSLATION BY UPENDO NKONE

Verse1
Tatizo lako ni lipi mbona wewe unalalamika sana,
(whats your problem ,why are you complaining so much)
 umesema mungu haoni mateso yako,
(you said God has not seen your suffering)
 umerudi nyuma, (you have backslided)
kwa kisingizio kwamba mungu hakujali, (blaming God doesn’t care)
kumbe mungu anakutazama,(but God is watching)
 neno lake lasema umuite siku ya mateso akuokoe,
(His word says call upon Him during suffering)
 akuvushe ulipo uone nguvu zake,
(to witness His mighty upon overcoming)
 ata kama wamekunenea maneno mabaya ya laana,
(even if they have spoken curses upon you)
 mungu wetu anayaondoa,  (our God will take away)
haijalishi unapita kwenye wakati gani ,
(no matter what you are going through)
wewe omba(just pray)


bridge
umuombe atakutendea,(pray and He will do)
 magonjwa ya muda mrefu,(long-time illness)
 una maumivu sana, we omba,(you have pains,just pray)
 (umuombe atakutendea) ,(pray and He will do)

Hauna pesa ,(you have no money)
ni njaa kali,(increased hunger)
 unaagaika ,muombe mungu,(you are suffering,pray to God)
 (umuombe atakutendea) ,(pray and He will do)
kila unalolifanya halifanikiwi ,kabisa,(everything you do is unsuccessful)
 husijali yote(don’t worry at all)
( umwombe atakutendea) ,(pray and He will do)



(Refrain)
Umuombe mungu (pray to God)
Umuombe ,(pray to Him)
umuombe mungu anaweza ,(pray to God He is able)
umuombe atakutendea x2,(pray and He will do)



verse2
Umuombe kwa unyenyekevu (pray with humility)(refrain)
Piga magoti mbele za baba (kneel before God) (refrain)
 Anasikia anajibu (He hears ,He answers)(refrain)

Verse3
Ni jambo gani ngumu ,(whats hard )
ambalo mungu hawezi kulitenda ,(which God can’t do)
ni ugonjwa upi ambao hawezi kuuponya ,
(what kind of sickness He can’t heal)
umelia sana na tena umeteseka mno wewe
(you have suffered and cried for long)
 husijiue, mungu yuko,(don’t commit ,suicide God is there)
 kwa kitambo kidogo amekuacha(for a while He has left you)
 kwa rehema nyingi (through much mercy)
atakukusanya kwa  fadhili zake,(He will collect you to His grace)
 atakurehemu (He will show you mercy)
Haijalishi unapita kwenye mapito gani ,
(regardless of what you going through)
we muombe mungu (just pray to God)
(umuombe atakutendea) ,(pray and He will do)
Daktari amepima  unao ugonjwa(the doctor has said)
 akasema huwezi pona (you can’t recover from the illness)
we mwachie mungu (just leave it to God)
(umuombe atakutendea) ,(pray and He will do)

Boss wako kazini amesema kazi ni leo mwisho,
(you boss has terminated your job)
 Mungu anajua (God knows)
(umuombe atakutendea) ,(pray and He will do)

Wamekunenea mabaya,(they have talked ill about you)
 wamesema huwezi kufanikiwa,
(they have said you can’t be successful)
 mweleze yesu(explain it to jesus)
(umuombe atakutendea) ,(pray and He will do)


(Refrain)

No comments: