Sunday, April 17, 2016

NASHUKURU LYRICS BY MERCYLINAH WAMBUGU

Umenipa uhai baba nafasinyingine ya siku mpya.
Baaaabaaaa, Nashukuruuu.
Umeniponya roho na mwili tabibu wa ajabu wewe yesu.
Babaaaaa, Nashukuruu
Umeondoa laana kabadilisha kuwa baraka.
Baba, Nashukuru.
Kilio changu ewe yesu kabadilisha kuwa furaha.
Baba, nashukuru.
Chorus
Kwa moyo wangu wote.
Nasema asante kwako
Messiah Nashukuru
Nilipokuwa mnyonge baba umekua nguvu yangu.
Babaa, Nashukuru
Nayo mishale ya yule mwovu hayajanipata umenilinda
Babaaa, Nashukuru
Umeniongoza mwokozi wangu kanisimamisha imara.
Babaaaa, Nashukuru
Umenitoa kwenye shimo la giza kaniweka kwenye mwanga.
Babaaa, Nashukuru.
Chorus
Kwa moyo wangu wote.
Nasema asante kwako
Messiah Nashukuru
Yale yote umetenda ni mingi mno na ya ajabu.
Sijuie nisemeje.
Messiah Nashukuru.

No comments: