Friday, December 2, 2016

TIGA WANA LYRICS BY WILY PAUL FT. SIZE 8


Willy , willy ,willy
willy willy willy willy Msaafi
willy pozzy ako wapi ? ako apo
namba nane ako wapi ? niko apa
willy pozzy ako wapi ? tuko apaa
TEDDY B

nikicheza ngoma iwe ngoma noma
nikisoma neno iwe neno noma
nikipiga wira iwe wira noma
kevo akileta shida tw

Tiga wana we Noma
tiga wana we noma
tiga wana we noma

mili mili milimani na mabonde mepanda
nimepitia re nikisukuma neno la bwana re
nazo chuki re, nazo chuki re nazo chuki reee

okay tiga wana weh pepo
okay tiga wana weh pepo
okay tiga wana weh pepo
okay tiga wana weh pepo

Lord i want to praise you every single day
i want to love you every single day
i want to praise you every single day
i want to love you every single day

cheza ngoma iwe ngoma noma
nikisoma neno iwe neno noma
nikipiga wira iwe wira noma
kevo akileta shida tw

Tiga wana we Noma
tiga wana we noma
tiga wana we noma

mmmh namba nane size 8,
eeeh mama wambu
kweli napiga neno,
tiga wana weh pepo
tiga wana weh pepo
tiga wana weh pepo
tiga wana weh tiga wana weeeh

kitu moja ndani ya millioni,
ata mabilioni ata matrilioniii
nipende Baba usije nilenga Baba,
funguo milango Baba


Lord i want to praise you every single day
i want to love you every single day
i want to praise you every single day
i want to love you every single day

cheza ngoma iwe ngoma noma
nikisoma neno iwe noma noma
nikipiga wira iwe wira noma
kevo akileta shida tw

Tiga wana we Noma
tiga wana we noma
tiga wana we noma

simlete bakora mikuki
tumpige ibilisi atoke
tusukume neno iendee
simchome shetani na fire
tumpige mateke aende
neno la Bwana mbele iende
neno la Bwana mbele lisonge

okay tiga wana weh pepo
okay tiga wana weh pepo
okay tiga wana weh pepo
okay tiga wana weh pepo

Tiga wana we Noma
tiga wana we noma
tiga wana we noma

Tiga wana we Noma
tiga wana we noma
tiga wana we noma

No comments: