Pages

Tuesday, April 21, 2015

FACEBOOK LYRICS BY ROSE MUHANDO

Facebook Facebook twitter amekuwa mungu wa kanisa la leo

Facebook Facebook twitter amekuwa hakimu wa kanisa la leo

Facebook Facebook twitter amekuwa mfalme wa ulimengu   leo

Facebook Facebook Twitterni kichaa kamili kwa ulimwengu wa leo

ooooh oh!

yoyoyo Jamani ee

yeyeye, Jamani eeh

yeyeye,huzuni eeh

yeyeye, machozi eeh


Kuna baa kubwa nililoliona mimi chini ya jua

Kuna balaa kubwa nililoliona etichini ya jua

Kuna balaa kubwa imezuka jamani chini ya jua

Ati Facebook amekuwa mungu kwa kanisa la leo ,ni ajabu sana

Twitter amekuwa hakiumu kwa kanisa la leo, ajabu sana

ajabu sana

ajabu sana

ajabu sana

ajabu sana

Angalia sasa ewe bwana, Kanisa Lako li katika hali mbaya

watu wako wamekua mateka hawajui pa kwenda ni kama upepo.

Wakristo wamekua wajinga hawajui nyakati za kuchiliwa kwao...


1 comment:

  1. Facebook - SuaĆ­le

    Facebook facebook twitter akawa mungu wa kanisa la leo
    Facebook facebook twitter akawa mungu wa kanisa la leo
    Facebook facebook twitter amekuwa mfalme wa ulimengu leo
    Facebook facebook Twitterni kichaa kamili kwa ulimwengu wa leo

    Ooooh oh!
    Yoyoyo Jamani ee
    Yeyeye, Jamani eeh
    Yeyeye,huzuni eeh
    Yeyeye, machozi eeh

    Kuna baa kubwa nililoliona mimi chini ya jua
    Kuna balaa kubwa nililoliona etichini ya jua
    Kuna balaa kubwa imezuka jamani chini ya jua
    Ati facebook amekuwa mungu kwa kanisa la leo, ni ajabu sana
    Twitter umekuwa hakiumu kwa kanisa la leo, ajabu sana

    ajabu sana
    ajabu sana
    ajabu sana
    ajabu sana

    Angalia sasa ewe bwana , Kanisa Lako li katika hali mbaya
    watu wako wamekua mateka hawajui pa kwenda ni kama upepo
    Wakristo wamekua wajinga hawajui nyakati za kuchiliwa kwao…

    ***********************
    Mtu anaweza kukamilisha? Sikuweza kupata kwenye mtandao.
    Mimi ni kutoka Brazili na mimi upendo muziki Christian Afrika. Nadhani wewe ni missing.

    ReplyDelete

Write a correction.