Verse1
Nimesikia
ukitajwa mitaani,
Na
kanisani waziimba sifa zako,
Yasemekana
wewe ni muweza yote,
Hakuna
jambo lolote likushindalo,
na
shida zote (unatatua)
Magonjwa
yote (wewe waponya)
Eeh
ata na wafu,(we wafufua)
Nashangaa
ah
(Refrain)
wewe ni Yule Yule,
(Yule
lele yule yulex2)
we
we ni Yule Yule
yule
lele Yule yulex2
verse2
mungu
wa msa Yule(Yule)
na wa yakovo Yule(yule)
anayeponya
Yule(Yule)
anayependa
Yule (Yule)
mungu
wa msa Yule(Yule)
na wa yakovo Yule(yule)
anainua
Yule (Yule)
anabariki
Yule (Yule)
(refrain)
Repeat the
whole
Verse3
Eeh…
,hubadiliki kamwe,
Ooh
mungu wa msa Yule(Yule)
na
wa yakovo Yule(yule)
anayeponya
Yule(Yule)
anayependa
Yule (Yule)
mungu
wa msa Yule(Yule)
na wa yakovo Yule(yule)
anainua
Yule (Yule)
anabariki
Yule (Yule)
(refrain)
Twashangilia
,uaminivu wako baba,
Mungu
wa msa Yule (Yule)
Na
wa yakovo Yule (Yule)
Anakujali
Yule (Yule)
Anaongoza
Yule(Yule)
(Refrain)
Twasema
shukurani,
Twasema
ni asante,
Yule
lele Yule Yule,(Yule)
2 comments:
excuse me some of us are having a hard time enjoying the song because lyrics hazija isha mseee sooo
work on it
Hey guys correct you lyrics too, its not only incomplete but few words are spelt wrong and some placed wrongly.
Post a Comment