Pages

Tuesday, April 7, 2015

BABA YETU LYRICSAND TRANSLATION BY PETER HOLLENS ft MALUKAH

Baba yetu, yetu uliye (OUR FATHER WHO IS )
Mbinguni yetu, yetu, amina (IN HEAVEN, AMEN)
Baba
yetu, yetu, uliye (OUR FATHER WHO IS )
Jina lako litukuzwe ( HALLOWED BE YOUR NAME ) X2

Utupe leo chakula chetu (GIVE US THIS DAY OUR DAILY BREAD)
Tunachohitaji utusamehe (WE NEED YOU TO FORGIVE US )
Makosa yetu, hey ( OUR TRANSPASSES )
Kama
nasi tunavyowasamehe (AS WE FORGIVE )
Waliotukosea, usitutie ( THOSE WHO TRANSPASS AGAINST US, LEAD US NOT)
Katika majaribu, lakini ( INTO TEMPTATION , BUT )
Utuokoe, na yule mwovu, milele na milele  
 ( DELIVER US  FROM THE EVIL, FOREVER AND EVER)

Baba yetuyetu uliye (OUR FATHER WHO IS ) Mbinguni yetuyetuamina (IN HEAVEN, AMEN)
Baba 
yetuyetuuliye (OUR FATHER WHO IS )Jina lako litukuzwe ( HALLOWED BE your name ) X2

Ufalme wako ufike utakalo (MAY YOUR KINGDOM COME, MAY YOUR WILL  )
Lifanyike duniani kama mbinguni, amina ( BE DONE ON EARTH AS IN HEAVEN )
Baba yetuyetu uliye (OUR FATHER WHO IS ) Mbinguni yetuyetuamina (IN HEAVEN, AMEN)
Baba 
yetuyetuuliye (OUR FATHER WHO IS )Jina lako litukuzwe ( HALLOWED BE YOUR NAME )

Baba yetuyetu uliye (OUR FATHER WHO IS ) Mbinguni yetuyetuamina (IN HEAVEN, AMEN)
Baba 
yetuyetuuliye (OUR FATHER WHO IS )Jina lako litukuzwe ( HALLOWED BE YOUR NAME )

Utupe leo chakula chetu (GIVE US THIS DAY OUR DAILY BREAD)
Tunachohitaji utusamehe (WE NEED YOU TO FORGIVE US )
Makosa yetu, hey ( OUR TRANSPASSES )
Kama
nasi tunavyowasamehe (AS WE FORGIVE )
Waliotukosea, usitutie ( THOSE WHO TRANSPASS AGAINST US, LEAD US NOT)
Katika majaribu, lakini ( INTO TEMPTATION , BUT )
Utuokoe, na yule mwovu, milele na milele 
 ( DELIVER US  FROM THE EVIL, FOREVER AND EVER)

Baba yetuyetu uliye (OUR FATHER WHO IS ) Mbinguni yetuyetuamina (IN HEAVEN, AMEN)
Baba 
yetuyetuuliye (OUR FATHER WHO IS )Jina lako litukuzwe ( HALLOWED BE YOUR NAME )

2 comments:

  1. lifanyike duniani kama mbinguni

    May it be done on earth as it is in Heaven

    ReplyDelete
  2. utupe leo chakula chetu
    tunachohitaji

    Give us today our food that we have need of

    ReplyDelete

Write a correction.