Pages

Sunday, September 20, 2015

UMENIFANYA IBADA LYRICS BY GLORIOUS WORSHIP

Refrain )

(Umenifanya ibada ,nikuabudu ,
umenipa kutumika chini ya pendo lako)x2
mamlaka na nguvu ninazo,
kufanya lolote utakalo,
mamlaka na nguvu ninazo
( maana we upo ndani yangu)x2)x3
Verse 1
(Umeniweka sirini mwako bwana aa,
nikujue zaidi ya fahamu zangu .uu.. )x2
  mamlaka na nguvu nina-aa-zo,
kufanya lolote utakalo,
mamlaka na nguvu ninazo
( maana we upo ndani yangu -uu)x2

( Refrain)x4

Nasema ndio   (ndio-oo)
Nasema ndio    ( wewe ni bwana)(ndio-oo)
Nasema ndio    (nimekubali kuwa wako)(ndio-oo)
Nasema ndio    (nimekubali kutumika)(ndio-oo)

Ni-na-sema ndio-oo, ndio,( bwa-aana)x6

8 comments:

Write a correction.