Verse 1
Unatawala
Yahweh x2(usifiwe),halleluyah,
tena
uinuliwe babax2 (usifiwe) (halleluyah)
Ninakupenda
baba x2( usifiwe)(halleluyah)
Kipenzi
changu Yahweh x2(usifiwe)(halleluyah)
Tena
tembea nami Yahwehx2(usifiwe)(halleluyah)
Ushuke
hapa sasax2 (usifiwe) (halleluyah)
Verse2
Asante
baba,
wewe ni mwaminifu jehova,
Tunakuabudu
wewe,
tawala
maisha yetu jehova,
Kanisa
linangoja,
taifa
linakuabudu wewe
Tuongoze
jeovah,
Verse3
Uhimidiwe
bwana,(usifiwe) ,
hakuna
kama wewe (halleluyah)
Tena
ubarikiwe bwana x2,(usifiwe) (halleluyah)
Uinuliwe
Yahweh ( usifiwe) (halleluyah)
Jehova
mungu unitawale bwana,( halleluyah)
Uinuliwe
Yahwehx4(usifiwe)(hallelujah)
Baba
utujaze tena(usifiwe)
Utulinde
baba (halleluyah)
Verse4
eeh baba, mtumishi wako naja mbele zako,
wewe unaye chunguza mioyo ya wanadamu,
umenichunguz
na ukanielewa vyema ,
tusamehe
dhambi na makosa,
utulinde
na waovu ,
wanaoleta
uharibifu katika taifa letu ,
baba
ubariki jamii zetu, na taifa letu,
watumishi wako wapake mafuta,
ninakupenda
,sitakuacha milele baba
(refrain)
Roho
mtakatifu unijaze nangoja ,
roho
mtakatifu unijaze kabisa x2
verse5
roho
wa bwana unijaze kabisax2
Roho
wa maombi unijaze niombe,
roho
wa ushindi unijaze niishi(refrain)
roho
wa maono shuka sasa nione
Roho
wa neema nisaidie nione(refrain)x3
Unijaze
upya babax2
unishukie
x2,
niumbe
upya x2
nikupendeze,x2
husiniwache
babax2
Ukae
namix2
milele yote x2
No comments:
Post a Comment
Write a correction.