Verse1
Mienendo yangu na tabia zangu, zikupendeze ,
Kuvaa kwangu na kunena kwangu, kukupendeze x2
(Naomba nifanane nawe, yesu niwe jinsi upendavyo )x2
(refrain)
Niguse, nifinyange, unibebe ,
Niunde, nitengeneze ,niwe kama wewe,
(Nikupendeza) x4
Verse2
Familia yangu, marafiki zangu tuwe sawa nawe,
biashara zangu, kila kitu changu
kiwe sawa nawe x2
(Refrain)
Verse3
Nifanane nawe,( yesu )
niwe jinsi upendavyo,
(Refrain)
Verse4
(Baba)x2 kwa kunena kwangu(nikupendeze)
Baba natamani sana(nikupendeze)
Nakupenda sana (nikupendeze)
Kwa kunena kwangu, (nikupendeze)
kutembea kwangu, ooh
niamkapo baba,
wacha nikupendeze.
TRANSLATION
TRANSLATION
Verse1
Mienendo yangu na tabia zangu (my movements and behaviour)
Mienendo yangu na tabia zangu (my movements and behaviour)
zikupendeze , (to impress you)
Kuvaa kwangu na kunena kwangu, (my dressing and talking)
kukupendeze x2 (to impress you)
kukupendeze x2 (to impress you)
(Naomba nifanane nawe , (i pray to be like you)
yesu niwe jinsi upendavyo )x2 (to be how you want jesus)
yesu niwe jinsi upendavyo )x2 (to be how you want jesus)
(refrain)
Niguse, nifinyange, unibebe , (touch me,mold me ,carry me)
Niunde, nitengeneze , (create me ,make me)
niwe kama wewe, ( to be like you)
niwe kama wewe, ( to be like you)
(Nikupendeza) x4 (to impress you)
Verse2
Familia yangu, (my family)
marafiki zangu tuwe sawa nawe,(my friends to be fine with you
Familia yangu, (my family)
marafiki zangu tuwe sawa nawe,(my friends to be fine with you
biashara zangu, (my businesses)
kila kitu changu kiwe sawa nawe x2 (everything to be fine with you)
kila kitu changu kiwe sawa nawe x2 (everything to be fine with you)
(Refrain)
Verse3
Nifanane nawe,( yesu ) (to resemble you ,jesus)
niwe jinsi upendavyo, (to be the way you want)
(Refrain)
Verse4
(Baba)x2 kwa kunena kwangu (father through my talking)
(nikupendeze) (to impress you)
(nikupendeze) (to impress you)
Baba natamani sana (father i wish )
(nikupendeze) (to impress you)
Nakupenda sana (i love you so much)
(nikupendeze) (to impress you)
Kwa kunena kwangu, (through my talking)
(nikupendeze) (to impress you)
kutembea kwangu, (through my walking)
ooh
niamkapo baba, ( and when i wake up father)
wacha nikupendeze. (to impress you)
No comments:
Post a Comment
Write a correction.