Pages

Wednesday, November 18, 2015

LAWAMA LYRICS BY BA’MDOGO ft.MR SEED




 Verse1
(ba’mdogo)
Dunia ina mambo mengi ,
Na ya dunia yachoma ka kiberiti,
Waweza ukafukia chini ,
Ukirudi nyumbani wayapata na bibi

Hivi vikwazo utapitia sio kidogo
Ata baba yako utampata na mke wako,
Rafiki zako wakusaliti kila uchao,
Hii dunia sio yako ,ukiibeba utavunjika,
tafuta rabana akuonyeshe njia ,
Ukibeba kisasi machungu yataharibu sura,
Mangapi mwokozi yesu alipitia,
Ila yana mwisho kasema (yamekwishax3),

(Refrain)
(Mr. seed) 
Ayaya mama (ayaya ya),
Tena wema maliza lawama,
Ayaya yax2
Nalala na jina lake (yesu we e x2)x4
Verse 2
(ba’ mdogo)             
Mbona shingo upande unaponisaidia mwenzio,
Nibebe nipande nitakufaidai kwa lingine,
Na kesho ikifika nitakuombea kwa maulana,
Akupe na fanaka kwa yote unayofanya,
Kutoa ni moyo usambe ni utajiri,
Kwa muoga huwa na kicheko
Kwa shujaa huwa na kilio,

Together we praise the lord,
Together we live forever,
Together we sing my song ,
Together we dance together,
We will bless the lord,
 with the screams and shouts,
when tomorrow comes you are still my brother,
mashujaa huwa na kilio
(refrain)

No comments:

Post a Comment

Write a correction.