Unastahili ,kuabudiwa, (you are worthy to be worshipped
ewe mfalme wa mbingu na nchi yote, (ooh king of
heaven and earth)
nakuheshima, nakusujudu, (I respect and prostrate you
leo sasa na milele
(today and forever)
(Refrain)
Mwaminifu, mtakatifu ,tamalaki ewe bwanax4
(you
faithful,holy,receive possession oh lord)
Verse2
Pokea sifa ,ewe mfalme , (receive praises ,oh king)
mwenye nguvu na mamlaka yote, (you
mighty and all authoritative)
nakuheshimu, nakusujudu, ( I respect and prostrate you
leo sasa na milele
(today and forever)
(Refrain)
Verse3
Maishani mwangu tamalaki yesu (posses my life jesus)
(tamalaki ewe bwana) (posses oh lord)
Katika wokovu wangu tamalaki (take possession of my salvation)
(tamalaki ewe bwana) (posses oh lord)
No comments:
Post a Comment
Write a correction.