Monday, November 30, 2015

NAKUPENDA LYRICS BY BURTON KING FT. TUMAINI




Baba ee, nakupenda wewe,
 nimekuchangua wewe tu baba,
yesu wee nakupenda wewe,
 nimekuchangua wewe tu ,baba
ni mara nyingi tu nimetamani kukwambia I love you,
na ni mara nyingi nimetamani
kufungua roho yangu kwako
lakini leo nashukuru kwamba nimepata chance
ya kusema( I love youx2),

(refrain)
ninachojua nakupenda baba,
siwezi kusema ,
unanujaz vipi kwa moyo x4



verse2
mimi ni wako na wewe ni wangu,
natambua hilo, wewe ni wangu na mimi ni wako
najua hivyo wewe ni wangu na mimi ni wako,
yesu mimi ni wako tu
ata shetani ajua hilo,
ata mapepo yajua hilo kuwa wewe ni wangu,
wewe ni wangu yesu tu,
hakuna kisichojua kwamba nimenunuliwa na wewe ,
hakuna hasiyetambua,kwamba mimi ni wa yesu ,
ooh nakupenda tu
(refrain)

Verse3
Vyote vilivyomo duniani ni vyako,
Ooh baba, hakuna ninachoweza kitoa mbele
Zako kikakufurahisha natoa moyo wangu,
Natoa maisha yangu masiah ooh,
Kubali tu ninaposema nakupenda,
Kwa maana penzi lako baba (no no no),
Haliwezi linganishwa na chochote,
Kubali penzi langu ninaposema
(refrain)


No comments: