(Refrain)
Njoox5,kwa nyumba ya bwana,(come to lords
house)
Njoox5,hakuna kuboekax2(come no boredom)
Njoox3 (u ee)x2(come ooh)
Verse1
Nilifurahi waliponiambia ,(I rejoiced when
they told me)
twendeni nyumbani mwa bwana,(we go to
lords house)
nilifika nikapata raha( I went and found
happiness)
na watu wameng’ara,(and people were smart)
nyumba kubwa ona na magari za kifahari,(a
big house with expensive cars )
kila siku ni kuparty,(everyday is
partying)
kweli kweli kuna bash,(truly,truly
parties)
warembo ,kibao,wamejaa upako,
(many girls filled with anointing)
hatujali jana kuliendaje,
(no worries of what happened yesterday)
yaani tulitoka aje,(how we came out)
ju kwa nyumba ya mungu hakuna hangover,
(no hangovers in Gods house)
*aja ni ya machupa,eeh nanana,
(refrain)
Verse2
Nilifurahi waliponiambia,(I rejoiced when
they told me)
Twendeni( nyumbani kwa
baba)x2(we go to lords house)
Kufika cha kwanza nilipata mabadiliko,(firstly
I found changes)
Vitu vya aina ,huwezi pata pengine,
(different things,no were to be found)
Wamama wa dot.com tena wamejaa meno,
(mothers still looking young)
Jana ulikuwa umeshine ,(umejaa heshima)
(yesterday you were shinning with respect)
Masengenyo (allergic) (am
allergic to gossips)
Vitina (allergic) (am allergic to
intrigues)
Tamaa (allergic x3)x2 (am
allergic to greedyness)
Verse3
Ngala lingo kayesu yo,(I love this God)
Azali malamo yo ,(because he is good)
ngala lingo kazambe yo, ,(I love this God)
Aza bolingo,
Nampenda mungu huyu , ,(I love this God)
Kwa sababu yeye ni mwema,(because he is good)
Nampenda yesu huyu, ,(I love this jesus)
Ye ni baba,papa dennis(Yahweh),(He is
father)
Tonzi ,tonzi (Yahweh)
Watu wote (Yahweh)(to all people)
Tumsifu (Yahweh)(lets praise Him)
Kina mama wamsifu (Yahweh)(ladies lets worship Him)
Tusake imani (Yahweh) (we search for peace)
*Baganda paji (Yahweh)
Yahweh muruji (Yahweh)
No comments:
Post a Comment
Write a correction.