(Refrain)
Umetukuka x2( bwana )(you are magnified
lord)
umetukuka bwana x2(you are magnified lord)
verse1
Umetukuka zaidi ya falme zote,
(you are magnified than all kingdoms )
Nguvu na uwezo zi mikononi mwako
(power and capability is in your hands)
(Pokea sifa bwana),(receive praises lord)
umeinuliwa,(you are uplifted)
umetukuka,umetukuka bwana (you are
magnified lord)
(refrain)
Verse2
Uliumba mbingu na nchi,(you created heaven and earth)
kwa uwezo wako na vyote vilivyomo,(and all whats in it through your capability)
kwa nguvu na uwezo wako,(through your power and capability)
hakuna mfano wako,(you have no comparison)
wewe ni mungu mkuu,(you are great God)
umetukuka,umetukuka bwana(you are
magnified lord)
(refrain)x2
Kwa njia yako (umetukuka bwana) (you are magnified
lord)
Wewe ni bwana (umetukuka bwana) (you are
magnified lord)
No comments:
Post a Comment
Write a correction.