Pages

Thursday, March 24, 2016

TULIA LYRICS BY BENACHI


 
Amesema utulie x3

verse1
mwenzangu nakuona,umekazana sana,
kila kunapokucha,mawazo yakubana,
bidii umetia,pia kupambana ,
maneno umenena kwenye sala,
umekesha kuomba,fungu la kumi umetoa,
pia kufunga,lakini bado bado,
umekesha kuomba,husichoke kuomba,
mkono wake si mfupi,utakufikia tulia,

verse 2
hajawahi chelewa wakati wake mwema,
tulia,
husife moyo kilio amekisikia,
tulia ,
husichoke kuomba piga moyo konde,
tulia,
imani tu ,imani tu, imani kwake,

tazama juu, msaada wako watoka juu,
kutoka chini ,mola atakuweka juu,
na ushawahi,ona uzio unaozidi kusoma juu,
na ushawahi,jiuliza mbona hausomi juu,
ni kwa sababux2 ,muda wao umefika tu,
vumilia tu ,muda wako utafika tu,
na ukiwadia ,hakuna ambaye atazuia,
ukitimia ,hatazuia,

hajawahi chelewa wakati wake mwema,
tulia,
husife moyo kilio amekisikia,
tulia ,
husichoke kuomba piga moyo konde,
tulia,
(imani juu ,imani juu imani kwakex3),

tazama juu, msaada wako watoka juu,
kutoka chini ,mola atakuweka juu,
na ushawahi,ona uzio unaozidi kusoma juu,
na ushawahi,,

hajawahi chelewa wakati wake mwema,
tulia,
husife moyo kilio amekisikia,
tulia ,
husichoke kuomba piga moyo konde,
tulia,
(imani juu ,imani juu imani kwakex3),








No comments:

Post a Comment

Write a correction.