Pages

Wednesday, September 28, 2016

PALE PALE LYRICS BY SIZE 8


pale umenitoa baba,pale unanipeleka,
siko pale pale ningependa kuwa,
pia siko pale pale ,pale nilianzia,
siko pale pale ningependa kuwa,
pia siko pale pale ,pale nilianzia,

wewe ndiye bwana unayepeana
maana kila kitu ni chako oh,
wewe ndiye bwana unayeongezana ,
tukiwa waminifu na kidogo,
badala ya njia kombokombo,
afadhali nianze na kidogo,
uliahidi utanibariki ,silalamiki,
nasema asante eh,

pale umenitoa baba,pale unanipeleka,
siko pale pale ningependa kuwa,
pia siko pale pale ,pale nilianzia,
siko pale pale ningependa kuwa,
pia siko pale pale ,pale nilianzia,

aliye na kidogo anataka nyingi,
aliye na nyingi anataka amani,
hicho ndicho kizungumkuti cha mbali,
tutafute ufalme wa mungu kwanza,
badala ya njia kombo kombo,
afadhali nianze na kidogo,
uliahidi utanibariki ,silalamiki,
nasema asante eh,

pale umenitoa baba,pale unanipeleka,
siko pale pale ningependa kuwa,
pia siko pale pale ,pale nilianzia,
siko pale pale ningependa kuwa,
pia siko pale pale ,pale nilianzia,

4 comments:

  1. Really a beautiful and encouraging song by Size 8 reborn. Where i was years back is not where i am today. Thanks be to God
    Whats the skiza code for this song?..

    ReplyDelete
  2. Amazing song. And a a very powerful message.... Without God we are nothing .we should all be greatful for where we've been and where we are today. Amen

    ReplyDelete
  3. One of the best songs I've listened to.

    ReplyDelete

Write a correction.