Pages

Sunday, September 4, 2016

PATAKATIFU PAKO LYRICS AND TRANSLATION BY ERICK SMITH


oh bwana yesu nakuhitaji
(oh lord,i need you)
yesu husiponisaidia nani mwingine? halleluyah
(lord if you don't help me who else will? halleluyah)

patakatifu pako,ndipo nahitaji,
(in your holy place is where i wanna be)
mahali pa maaana ,juu ya yote,
(the greatest place above all)
katika mikono yako mimi najiweka,
(in your hands i place myself)
nizungukwe mimi na uwepo wako
(so that i can be sorrounded by your presence)

niambie utakalo bwana
(tell me what you need lord)
nipee nguvu ya kushinda majaribu yesu,
(give me strength to overcome temptaions)
nakuhitaji bwana maishani mwangu
(i need you lord in my life)
niambie utakalo bwana,
(tell me what you need lord)
nipee nguvu ya kushinda majaribu yesu,
(give me strength to overcome temptaions)
nakuhitaji bwana maishani mwangu
(i need you lord in my life)

ninachohitaji yesu ,ni kufurahisha roho yako,
(all i need jesus is to please your heart)
wewe rafiki mwema ,ulienipendaa,
(you are a good friend who loves us)
kwa ajili yako yesu sisi tumekombolewa,
(because of you jesus we are saved)
kuwa na wewe yesu yashinda yote
(to have you jesus exceeds it all)x2

niambie utakalo bwana,
(tell me what you need lord)
nipe nguvu ya kushinda majaribu
(give me strength to overcome temptations)
nakuhitaji bwana maishani mwangu
(i need you lord in my life) x2

oh yesu neno lako lasema,
(oh jesus ,your word says)
siku moja katika utukufu wako
(one day in your presence)
yazidi miaka elfu duniani
(is worth a thousand days elsewhere)
yesu nisaidie kuwa katika utukufu wako siku zote za maisha yangu
(jesus help me to seek your presence for the rest of my life)

nahitaji mkono wako
(i need your hand)
niongozwe na wewe bwana
(to be led by you lord)
kimbilio msaada wa karibu
(my refuge and helper)
ni wewe ,ni wewe ,ni wewe
(is you) x2

niambie utakalo bwana,
(tell me what you need lord)
nipe nguvu ya kushinda majaribu
(give me strength to overcome temptations)
nakuhitaji bwana maishani mwangu
(i need you lord in my life) x2

No comments:

Post a Comment

Write a correction.