Pages

Thursday, October 6, 2016

KUTEMBEA NAWE LYRICS TRANSLATION BY REBEKAH DAWN

Nikipoteza njia (If ever I should lose my way)
Kwa safari nimechagua (In this journey I have chosen)
Nisipokuwa na nguvu (If I don’t have any strength)
Niite, niite (Call to me, call to me)
Niongoze kwa neema (Lead me with Grace)
Nifunze kwa upole wako (Teach me with your gentleness)
Hata nikikosea (Even if I should make a mistake)
Nisaidie, nisaidie (Help me, help me)

Refrain:
Natamani kutembea nawe (I desire to walk with you)
Natamani kutembea nawe (I desire to walk with you)
Natamani kutembea nawe (I desire to walk with you)
Niongoze, niongoze (Lead me)
Sielewi njia hii (I’m not familiar with this path)
Nd’o maana nakuhitaji (That is why I need You)
Nakutegemea wewe (I depend on You)
Enda nami, enda nami (Go with me, go with me)
Nashindwa kukupa vyote (It’s hard to give You everything)
Hata hivyo nitaamini (Even so I’ll believe)
Kwani najua mwishowe (For I know at the end)
Kuna raha, kuna raha (There is joy, there is joy!)

(Refrain)

3 comments:

  1. Into- F, Bb, F, Dm, Bb x2
    Verse 1
    F Bb F
    Nikipoteza njia (If ever I should lose my way)
    F Bb F C
    Kwa safari nimechagua (In this journey I have chosen)
    Bb F Dm
    Nisipokuwa Na nguvu (If I don’t have any strength)
    C F Bb
    Niite, niite (Call to me, call to me)
    Verse 2
    Bb F
    Niongoze Kwa neema (Lead me with Grace)
    Bb F C
    Nifunze Kwa upole wako (Teach me with your gentleness)
    F Bb Dm
    Hata nikikosea (Even if I should make a mistake)
    C F Bb
    Nisaidie, Nisaidie (Help me, help me)

    Chorus:
    F Bb F C F
    Natamani kutembea nawe (I desire to walk with you)
    F Bb F C F
    Natamani kutembea nawe (I desire to walk with you)
    F Bb Dm
    Natamani kutembea nawe (I desire to walk with you)
    C F Bb
    Niongoze, niongoze (Lead me)
    Verse 3
    Bb F
    Sielewi njia hii (I’m not familiar with this path)
    Bb F C
    Nd’o maana nakuhitaji (That is why I need you)
    Bb F Dm
    Nakutegemea wewe (I depend on you)
    C F Dm
    Enda nami, enda nami (Go with me, go with me)
    Verse 4
    F Bb F
    Nashindwa kukupa vyote (It’s hard to give you everything)
    F Bb F Em
    Hata hivyo nitaamini (Even so I’ll believe)
    F Bb Dm
    Kwani najua mwishowe (For I know at the end)
    Em F Bb
    Kuna raha, kuna raha (There is joy, there is joy!)

    Chorus:
    Am Bb F
    Natamani kutembea nawe (I desire to walk with you)
    F Bb F
    Natamani kutembea nawe (I desire to walk with you)
    F Bb Dm
    Natamani kutembea nawe (I desire to walk with you)
    C F Bb
    Niongoze, niongoze (Lead me) X2
    (Instrumentals Bb, C, F, Bb, C)

    ReplyDelete

Write a correction.