verse 1
Abudiwa bwana,tukuka bwana
heshimika bwana,tukuka milele
wewe ni mungu hakuna kama wewe
bwana ,unayotenda hakuna mwingine
awezaye tenda,
unarudishia watu miaka yao,waliopoteza
unarudishia watu miaka yao iliyoliwa na nzige
ulimrudishia ayubu miaka yote aliopoteza
mali yake watoto wote bwana ulirudisha
tena mara dufu,
bwana ulirudisha,nami najua nitarudishiwa
miaka yangu nitarudishiwa,
iliyoliwa na nzige,nitarudisha
eeeeieee miaka yangu,
iliyoliwa na nzige,
chorus
narudisha narudisha
miaka yangu,iliyoliwa na nzige,
narudisha kwa jina la yesu
miaka yangu,iliyoliwa na nzige,
narudisha kwa jina la yesu
verse 2
nzige wamekula amani ya wengi
nzige wameharibu afya ya wengi mno
angalia imebaki mifupa mikavu
tazama imebaki mifupa mikavu
lakini kuna tumaini bwana atarudisha,
amani itarudishwa,afya itarudishwa
biashara itarudishwa,furaha inarudishwa
waliopakwa matope,bwana anasafisha
walioshushwa chini,bwana anainua
ata mti ukikatwa,utachipuka tena
waliopoteza maono yao,jipe moyo
bwana anarudisha,kwa jina la yesu
chorus
narudisha narudisha
miaka yangu,iliyoliwa na nzige,
narudisha kwa jina la yesu
miaka yangu,iliyoliwa na nzige,
narudisha kwa jina la yesu
God bless you Gloria for this encouraging Song.
ReplyDeleteMy song any minute...
ReplyDeleteI love this song. The message in it. May God Bless you Gloria
ReplyDeleteThis is my prayer song. Reclaiming what satan has taken away from me in Jesus name.
ReplyDeleteI think Gloria has done several, but none will ever match this one. Direct from the Bible script and a worship song too. Thanks Gloria.
ReplyDeleteThank you Gloria, this song is an encouraging to many since its all about the scriptures direct from the Holy Bible...
ReplyDeleteFrom deep inspiration.. Kudos
ReplyDeletethis leaves me in tears and joy
ReplyDeleteMore blessings to you Gloria.
ReplyDelete100% My favorite, my assurance my redeeming my comfort my rewarding, my all sufficient song. Thank you Jesus!
Iam truly blessed
ReplyDeleteIt's sufficient.
ReplyDeleteI blessed by this song. I have replayed it more than 10 times today. God bless you Gloria. Keep the fire burning by sticking to the word of God in your composition of songs
ReplyDeleteEnter your comment...God bless you Gloria...you really minister to me
ReplyDeleteThis song is on another level and Bwenieve did a good job too.More revelation to you Gloria
ReplyDeleteBlessed by the song
ReplyDeleteA Gud And Inspiring, Ilyke It
ReplyDeleteThis is a wise scriptural song, I like it.....
ReplyDeleteSuch an encouraging song,it has blessed me today
ReplyDeleteEspecially this hard time
ReplyDeleteIts 2022 and the song is still 🔥 👌 💯. Gloria is such a blessing
ReplyDeleteAnyone to do a translation in English please
ReplyDelete