Intro
Binguni
hakuna digiri, mungu wangu hana digiri, malaika hawana digiri, Adam na
Eve hawakuwa na digiri... Some of you call me WILLY PAUL WILLY POZZE,
some of you call me just POZZE
heaven material!!!
Verse 1
Leo nina mambo, nitatoboa mambo, natakasema mambo, kama Rambo, sio Rambo kanambo, Rabuka mambo,
Mambo×3
Ukiniyima gilasi, hio sio mambo bali ni diambo na italeta mambo,
Tuonyeshane upendo simungu alisema ati tuwe na upendo, sio vita ka mama wa kambo.
Wengine wajidai ati wamesoma sana, waezi shirikiana na watu wajasoma,
Wacha nikusho binguni hakuna shule sote tuko equal. Hio tu ni mambo.
Pre-chorus
Wacha nikusho siri moja, huitaji awards kuingia heaven, wacha nikusho siri moja huitaji digiri kuingia heaven×2
Binguni hakuna digiri, Mungu wangu hana digiri, malaika hawana digiri, Adam na Eve hawakuwa na digiri ( digiri ×6)
Verse 2
Mmmmh
Njeri usimulenge omondi, mmmh Njeri, usimulenge!! Unaweza mlenga kumbe
unaye mlenga ndiye yule mmoja umekuwa ukimsaka, na itakuwa ni mambo, na
mambo ni mambo,
Alisema atakuja in so many forms,
hautaji kujaza anyforms, ukitenda mema... atakuchukuwa bila uniform..
Yeye hananga mambo, ukiwa na jambo, wewe mtafute, atakupa kamambo,
Pre-chorus
Wacha nikusho siri moja huitaji awards kuingia heaven, wacha nikusho siri moja, huitaji digiri kuingia heaven ×2
Binguni hakuna digiri, Mungu wangu hana digiri, malaika hawana digiri, Adam na Eve hawakuwa na digiri ( digiri ×6)
No comments:
Post a Comment
Write a correction.