Pages

Monday, July 31, 2017

NAMBA MOJA (PRAISE MEDLEY) LYRICS BY ERICK SMITH


Namba moja,namba moja ,
namba moja amenipa amani namba moja
Namba moja,namba moja ,
namba moja amenipa amani namba moja x4

nilitafuta mali dunia nzima,
mimi sikupata mali,
nilienda kwa waganga sikupata mali,
mahali pote nilitafuta mali,
nilipanda milimani nikashuka mabonde,
mimi sikupata mali mimi
nilipokuja kwako bwana yesu,
nikapata mali,furaha moyoni eeh.

Namba moja,namba moja ,
namba moja amenipa amani namba moja
Namba moja,namba moja ,
namba moja amenipa amani namba moja x4

yesu wangu(namba moja)
amenipa amani (namba moja)
ameniokoa (namba moja)
amenibariki (namba moja)
yesu ananijali (namba moja)
ndiye mwenye huruma (namba moja)
hawezi niacha (namba moja)

Namba moja,namba moja ,
namba moja amenipa amani namba moja
Namba moja,namba moja ,
namba moja amenipa amani namba moja x4

bwana sijawahiona kama wewe 
bwana sijawahiona kama wewe 
wewe ni yule jana leo ,ata milele hubadiliki kamwe
bwana sijawahiona kama wewe 
bwana sijawahiona kama wewe 
wewe ni yule jana leo ,ata milele hubadiliki kamwe

waliojilinganisha na wewe,bwana leo wako wapi
waliojipiga kifua walitoweka,wameshaulika bwana
lakini wewe hubadiliki kamwe,
ni wewe yule jana leo na milele,

bwana sijawahiona kama wewe 
bwana sijawahiona kama wewe 
wewe ni yule jana leo ,ata milele hubadiliki kamwe
bwana sijawahiona kama wewe 
bwana sijawahiona kama wewe 
wewe ni yule jana leo ,ata milele hubadiliki kamwe

jesus no one can be compared to you
jesus no one can be compared to you
you are the same yesterday today forever more

No comments:

Post a Comment

Write a correction.