Pages

Monday, July 3, 2017

SITEKETEI LYRICS BY ANGEL BENARD


Mi siteketei,siangamii,
sigarikishwi uko nami,

Mi siteketei,siangamii,
sigarikishwi uko nami,
hupimwi kwa siku, hupimwi kwa mwaka,
unatafsiri majira,huzuiwi na muda,
umejawa na nguvu,ndio maana nakuita baba,
moyoni mwangu,najawa sifa,
na ujasiri katika wewe,
hakuna mlima wa kuniangusha,
ndani yako, ninasimama

Mi siteketei,siangamii,
singarikishwi uko nami,x2

nimezungukwa ,nawe kila pande,
hakuna jambo la kuniangamiza
majeshi yaliyo upande wangu,
ni mengi sana kuliko hawa wa dunia
hatua zangu ,zaongozwa nawe,
siangamii ,siteketei,katika wewe ,ninasimama
siteketei,na ninadumu,

Mi siteketei,siangamii,
sigarikishwi uko nami,x2

kwako bwana nasimama,ndiwe mwamba ni salama
kwako bwana nasimama,
we daily believe in you,
we shall stand firm forever,

Mi siteketei,siangamii,
sigarikishwi uko nami,x2

7 comments:

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. Yeap! It's a good work, and i real enjoy this art,i'm blessed, but you have to edit yo lyrics; i think it has to be " HUPIMWI KWA SIKU, HUPIMWI KWA MIAKA " And not " HUKIMWI KWA SIKU".
    Thanking you in advance.

    ReplyDelete
    Replies
    1. I think the lyrics are okay haven't seen error anywhere.. Ama it was edited.

      Delete
  3. Hi. Is there any bady to help me get english translation of this song.

    ReplyDelete
  4. Great lyrics real helpful

    ReplyDelete
  5. this is such a lovely song, one of my best artists

    ReplyDelete
  6. Listenin to this jam woooow wooow wooow i love it
    The Lord is surely with me

    ReplyDelete

Write a correction.