Pages

Sunday, August 20, 2017

SIMAMA JITUKUZE LYRICS BY MERCY MASIKA


Mungu wetu wa mbinguni,
mungu uliyetukuka
twakuabudu mungu wetu,
wastahili kuabudiwa
umeketi kati ya sifa,
maserufi makerubi,
wakuabudu mungu wetu,
wastahili kuabudiwa,

simama jitukuze,
watu wako wauone,
utukufu wako,
simama jitukuze,
watu wako wauone,
utukufu wako,

bwana wewe ndiwe mungu wetu,
unasimama upande wetu,
adui zetu wakiinuka,
unasimama upande wetu
maana wewe ndiwe mungu wetu,
unasimama upande wetu 
maana wewe ndiwe mungu wetu
adui wakiinuka,
unasimama upande wetu

simama jitukuze,
watu wako wauone,
utukufu wako,
simama jitukuze,
watu wako wauone,
utukufu wako,

bwana wewe ndiwe mungu wetu,
unasimama upande wetu,
adui zetu wakiinuka,
unasimama upande wetu
maana wewe ndiwe mungu wetu,
unasimama upande wetu 
maana wewe ndiwe mungu wetu
adui wakiinuka,
unasimama upande wetu


No comments:

Post a Comment

Write a correction.