Pages
▼
Thursday, October 11, 2018
BABA WAJUA KUNIFURAHISHA LYRICS BY JOEL LWAGA FT. CHRIS SHALOM
CHORUS Joel;
Baba Umejua kunifurahisha
Baba Umenifuta machozi
Dady oohhh umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu Milele
VERSE 1 Joel;
Umerudisha tabasamu Langu usoni
Umerejesha na furaha yangu
Moyoni Umenijibu kwa wakati nisiodhani
Baba umejua kunifurahisha
Nilieitwa laana, Nimefanyika Baraka!
Nilieonekana sifai, Umeniheshimisha!
Umenipa sababu ya kujidai
Na kukutukuza Baba
Umejua kunifurahisha
CHORUS Joel;
Adlib; Heii Babaa Baba yangu baabaa
Umenifuta machozi yangu
Dady oooh Umeondoa aibu yangu
YESU eeeh umejua kunifurahisha
VERSE 2 Chris;
Mmmh mmmhhh Father to the fatherless
Look what you've done for me eeeh!
You've done for me
You've wiped the tear from my eyes ,lord
Look what you've done for me
The chains and the shackles that held me bound
You have cut it all away Oh what a life
A beautiful life you've given me
Baba Umejua kunifurahisha
Baba nitakusifu Milele
CHORUS Chris; Adlib;
Am so full of thanks to you JESUS (Chris)
You've turned my life around
Look what you've done for me
My mother couldn't do it (Chris & Joel)
My father couldn't do it, no (Chris & Joel)
Kweli umeondoa aibu yangu (Joel)
You picked me up from the miry clay (Chris)
And set my feet on a rock to stay (Chris & Joel)
Amani yako imenihifadhi baba (Joel)
No one could do the things you do Jesus (Chris)
Hallelujah HALLELUJAH (Chris & Joel)
No comments:
Post a Comment
Write a correction.