Pages

Tuesday, November 24, 2020

VICE -VERSA LYRICS BY SIZE 8 & ROSE MUHANDO



lalala lalala
lelele  lelele
imekwenda vice versa
(teddy B)

Nakushukuru mungu wee
ewe mungu wee
nakushukuru mungu wee
nimeona mkono wako

kama si wewe mungu wee
ewe mungu wee
kama si wewe mungu wee
singefika hapa nilipo

Nakushukuru mungu wee
ewe mungu wee
nakushukuru mungu wee
nimeona mkono wako

kama si wewe mungu wee
ewe mungu wee
kama si wewe mungu wee
singefika hapa nilipo

nilipopita kati ya uovuni
wa bonde la mauti na kuzimu
uliniona yesu
nilipopigwa na maadui
wakanishambulia
uliniona yesu

shetani aliposimama
ili anifanye mawindo
ulinificha yesu

marafiki zangu walitabiri
maanguko yangu
umeniinua yesu

wewe mwamba wangu
wewe nguvu yangu
we amani yangu
kimbilio langu
msaada wangu watosha
uhimidiwe yahweh

Nakushukuru mungu wee
ewe mungu wee
nakushukuru mungu wee
nimeona mkono wako

kama si wewe mungu wee
ewe mungu wee
kama si wewe mungu wee
singefika hapa nilipo

Nakushukuru mungu wee
ewe mungu wee
nakushukuru mungu wee
nimeona mkono wako

kama si wewe mungu wee
ewe mungu wee
kama si wewe mungu wee
singefika hapa nilipo

mbwa mwitu walipiga kelele
nikaziba masikio
nilikuona yesu
walipanga mipango ya uovu
ili niangamie
ukapangua yesu

mipango mawazo 
walionikusudia
wamepanga umepangua
imekwenda vice versa

mipango mawazo 
walionikusudia
wamepanga umepangua
imekwenda vice versa

tamaa ,vice versa
uongo ,vice versa
uchawi,vice versa
fitina ,vice versa
masengenyo ,vice versa
nimeshindaa

Nakushukuru mungu wee
ewe mungu wee
nakushukuru mungu wee
nimeona mkono wako

kama si wewe mungu wee
ewe mungu wee
kama si wewe mungu wee
singefika hapa nilipo

Nakushukuru mungu wee
ewe mungu wee
nakushukuru mungu wee
nimeona mkono wako

kama si wewe mungu wee
ewe mungu wee
kama si wewe mungu wee
singefika hapa nilipo

No comments:

Post a Comment

Write a correction.