Ni wengi wameniandama kila kona usiku na mchana
Baba peke yangu mimi sitoweza
Mitego wameiweka kwenye njia zangu Yesu
Baba peke yangu mimi sitoweza
wengi wameniandama kila Kona Usiku na Mchana
Baba peke yangu mimi sitoweza
Mitego wameiweka kwenye njia Zangu Yesu
Baba peke yangu mimi sitoweza
Wengine ni wa karibu yangu
Eeh Baba unisaidie
Wengine ni wa Nyumbani Mwangu
We Baba unisaidie
Wengine ni wa karibu yangu
Eeh Baba unisaidie
Wengine or wa nyumbani mwangu
We baba unisaidie
Vita si vyangu ni vyako baba pigana nao
Peke yangu mimi sitoweza
Watesi wangu baba wawe watesi wako shindana nao
Peke yangu mimi sitoweza
Nina haja Nawe, ndio maana niko hapa
Nina haja Nawe, ndio maana niko hapa
Nina haja Nawe, ndio maana niko hapa
Nina haja Nawe, ndio maana niko hapa
Nina haja Nawe, ndio maana niko hapa
Nina haja Nawe, ndio maana niko hapa
Nina haja nawe, ndio maana niko hapa
Nina haja nawe, ndio maana niko hapa
No comments:
Post a Comment
Write a correction.