Mmmh ooh Baba
Niwe pekee wanijua vyema
Kwako sitetereki kamwe
Wanitenda mema na kunipa heshima
Umenifanya nisimame
Na kama nikishikwa na shida
Nitakimbilia hekaluni mwako
Nitajaza nafsi mbele zako bwana
Nitasema yote yanayonishinda
Nilipo mie na wewe upo
Nilipo mie na wewe upo Bwana
Nilipo mie na wewi mbele zako bwana
Nitasema yote yanayonishinda Nilipo mie na wewe upo
Nilipo mie na wewe upo Bwana Nilipo mie na wewe upo
Nilipo Haokua Haokua
Haikiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahiahana wewe
upo Nilipo Haokua
Haikiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahiaha mie
Haaa aah, nitakuabudu milele
Haa, wanibariki eeh
Haaa aah, sitokuacha milele
Haa, wanilinda crumb
Haaa aah, nitakuabudu milele
Hakuna Giza tena wala hakuna Mashaka
Umeivua laana umenivika baraka
Moyo wangu wakutamani ewe Baba
Nafsi yangu yakulilia
Umenijaza imani sio haba neno lako nashikilia
Umenishika Mkono wako (Asante Asante)
Umenivusha magumu (Asante Asante)
Umenishika Mkono wako (Asante Asante)
Umenivusha magumu (Asante Asante)
Nilipo mie na wewe upo
Nilipo mie na wewe upo Bwana
Nilipo mie na wewe upo
Nilipo mie na wewe upo Bwana
Haa, wanibariki eeh
Haaa aah, sitokuacha milele
Haa, wanilinda mie
Haaa aah, nitakuabudu milele
Haa, wanibariki eeh
Haaa aah, sitokuacha milele
Haa, wanilinda mie
Haaaibar aah, nitakuabudu milele
Milele waniki mie
babiki
naaniki Milele
No comments:
Post a Comment
Write a correction.