Pages

Tuesday, January 31, 2023

MAJINA YOTE MAZURI WITH TRANSLATION BY HYMNOS 2 DEDO DIEUMERCI FT.NAOMI MUGIRANEZA

|Verse|

Majina yote mazuri ni yako 
[ All precious names are yours]
Eh Jehovah muumbaji wangu 
[Eh Jehovah, my creator]
Nikupe jina gani 
[I wonder which name I should call you]
Kwani kila la kiheri ni upekee wako! 
[Because each special name is your Uniqueness]
 
|Chorus|

Umeniponya, nakuita Jehovah Rapha, Mungu mponyaji wangu. 
[You have healed me, so I call you Jehovah Rapha, the God who heals me.]
Umeniokowa, nakuita mwokozi, Bwana Mungu wa wokovu wangu! 
[You saved me, so I call you Savior, God of my salvation]
Umenipigania, nakuita Jehova nissi, bendera ya ushindi wangu.  
[You fought for me, so I call you Jehovah Nissi, the banner of my victory]
 
|Bridge|
————
Usifiwe, Ee Bwana 
[ Be glorified, O Lord]
Muumba wangu na nuru yangu 
[My creator and my Light]
Wema wako wanijaza moyo 
[your goodness fills my heart]
Wewe ndiye mucungaji wangu 
[ You're my shepherd]
Tena kiongozi wa maisha yangu 
[And the commander in chief of my life]
Wanitazama kama mboni ya jico lako! 
[ You watch over me like the apple of your eye]
 
|Chorus|
————
Umenifanya kuwa kielelezo cha walio barikiwa 
[ You have made me an example of those who have been blessed]
Zaidi ya yote, ukanifanya kuwa baraka, ili nami nibariki. 
[ Above all, you have made me a blessing so that I may also bless]
Nimekupata na nikaridhika 
[I found you and was satisfied]
Wewe ni yote ndani ya yote 
[ You are all in all]

No comments:

Post a Comment

Write a correction.