Naona uaminifu wako katika kila jambo
(i see your faithfulness in everything)
kwa vile unavyotenda mema
(for you always do me well)
Naona uaminifu wako katika upendo wako
(in your faithful love)
kwa vile unavyonipenda
(for you always love me)
naona uaminifu wako katika damu yako
(i see your faithfulness in your blood)
kwa vile inavyonena
(for it speaks better things)
naiona neema yako
(i see your grace in my life)
kwa vile umeniweka mwema
(for you have kept me well)
amani yako yatiririka
(your peace overflows)
niwe unijaliaye kukaa vyema
(for you care for me to live well)
uaminifu wako watiririka
(your faithfulness overflows)
umenitia furaha moyoni mwangu
(you have given me overflowing joy)
umeponya magonjwa yangu yote
(you have healed me all diseases)
ewe yesu
(oh jesus)
kakomboa uhai wangu na kaburi
(saved me from the grave)
eh yesu nashukuru
(oh jesus i'm grateful)
ahsante kwa yaliyopita
(thank you for what you have done)
na ya sasa
(what you are doing)
umeyatimiza wewe ni mwaminifu
(you have fulfilled your word your faithful)
asante kwa yanayokuja ,naamini
(thank you for whats coming ,i believe)
utayatimiza wewe ni mwaminifu
(you will fulfill your word you are faithful)
hsante kwa yaliyopita
(thank you for what you have done)
na ya sasa
(what you are doing)
umeyatimiza wewe ni mwaminifu
(you have fulfilled your word your faithful)
asante kwa yanayokuja ,naamini
(thank you for whats coming ,i believe)
utayatimiza wewe ni mwaminifu
(you will fulfill your word you are faithful)
nikitazama fathili zako
(when i consider your goodness)
ninaona fikira zako
(i see your thoughts)
kwa namna unavyoniwazia
(and how you think of me )
na nikisema hunipendi
najidanganya mwenyewe
(i lie to myself)
na sijaona dhamani ya upendo wako
(and i have not seen the value of your love)
waaminifu wako watiririka
(your faithfulness overflows)
sababu jina lako ni mwaminifu
(because your name is faithful)
mwaminifu ni mungu,mungu ni mwaminifu
(his faithfulness lasts forever)
uaminifu wako wa milele
(your faithfulness lasts forever)
uaminifu wako haupimiki
(your faithfulness cannot ba compared)
kwa njia ya matendo yangu
(to my deeds)
ata nikikosea haupimiki
(even when i make mistake cannot be compared)
kwa njia ya makosa yangu
(to my mistakes)
ata nikipatia haupimiki
(even if i give it)
kwa njia ya kuweza kwangu
(your faithfulness is not comparable to my ability)
uaminifu wako unabaki
(your faithfulness remains)
pale pale, pale pale
(there ,there,there,there)
kwenye kiwango cha uaminifu wako
(at your own level of your faithfulness)
eh unabaki
(remains)
pale pale, pale pale
(there ,there,there,there)
ahsante kwa yaliyopita
(thank you for what you have done)
na ya sasa
(what you are doing)
umeyatimiza wewe ni mwaminifu
(you have fulfilled your word your faithful)
asante kwa yanayokuja ,naamini
(thank you for whats coming ,i believe)
utayatimiza wewe ni mwaminifu
(you will fulfill your word you are faithful)
x4
No comments:
Post a Comment
Write a correction.