Pages

Thursday, November 23, 2023

AMENISAMEHE LYRICS BY ISRAEL MBONYI

 Chorus : 

Damu yake iliyomwagika Imeshinda hukumu yote

Imeniweka huru tele Ninaimba nimesamehewa 

Ameniwaka huru télé Ninaimba amenisamehe 


1.Utakatifu na Umungu alivua Kakubali kufunua kile kitabu 

Kaja tafuta aliyepotea Huyo ni mi niliyemsulubisha 


Nyalaka za mashitaka zilikuwa nyingi Babiloni yote ilijua jina langu 

Ila baada ya kifo chake Damu yake Yesu ilishinda hukumu


2.Sikiliza we mlima nikwambie Nimesimika bendela ya ukumbusho 

Nitarudi nikushuhudie, amenibadisha akanipa jina jipya 

Sitaomdoa mguu wangu katika hilo bwawa la damu yake Yesu


3.Mimi sio tena wanayenitegemea Bali yule Mungu anae nitakia 

Menibadilisha kwa damu yake Amefuta majina ya kale akanipa jina jipya

Wengi walifikiri mi ni yule wa kale Wengi walidhani bado natenda ya kale 

Sikilizeni nimebadilishwa, amefuta majina ya kale akanipa jina jipya


No comments:

Post a Comment

Write a correction.