Kwakua Bwana ni furaha yangu
Tena Bwana ni nguvu zangu
Nitahimidi jina lake
Sifa zake zi kinywani mwangu
Siku zote za maisha yangu
Nitahimidi jina lakee
Hatutanyamaza
Hatutaona Haya
Tutahimidi jina lake
Haturudi nyuma
Yeye kiongozi wetu
Tutahimidi jina lake
Nainua mikono nakubariki
Nainua sauti yangu nakutukuza
Nainua sauti
Tazama Bwana ametamalaki
Watu wote na tushangilie
Na tulisifu jina lakee
Ametenda mambo ya ajabu
Ya kutisha na kutushangaza
Na Tulisifu jina lakeeee
Nainua mikono nakubariki
Nainua mikono utukufu ni wako tu
Nainua sauti yangu nakutukuza
Nainua sauti
Ni wewe x2
Wastahili sifa
Na utukufu wote
Wengine wanataja magari
Wengine wanataja farasi
Wengine wanataja mali
Sisi twalitaja jina lako
Ni wewe x2
Wastahili sifa
Na utukufu wote
Wengine wanataja magari
Wengine wanataja farasi
Wengine wanataja mali
Sisi twalitaja jina lako
Ni wewe Ni wewe
Wastahili sifa
Na utukufu wote
No comments:
Post a Comment
Write a correction.