Eh
safari ya yesu kwenda yerusalemu
alipita galilaya kando ya mpake wa samaria
kwenye maji madogo wanaume kumi wakamwendea
hawakumkaribia walikuwa wagonjwa
kwa kupaza sauti walimwita yesu
eeh yesu ewe yesu,tafadhali tusaidie
kwa kupaza sauti walimwita yesu
eeh yesu ewe yesu,tafadhali tusaidie
eeh yesu ewe yesu tusaidie
yesu aliwatuma nendeni mjionyeshe kwa makuhani
walipokuwa wakienda wakaponywa
wengine wote walienda lakini mmoja akarudi
akalala chini kifudifudi na kusema
nimepona umeniponya
na nimerudi kwwako kukupa shukurani zangu
eh ni mmoja wa wale kumi uiowaponya
amerudi kusema
nimepona umeniponya
na nimerudi kwako kukupa shukurani zangu
yesu akamuuliza wengine wote wako wapi
huyu hata si mmoja
No comments:
Post a Comment
Write a correction.