Basi songa songa songa nimguse
We songa songa songa
Yesu Ako njiani
Akamponye mwana wa mtu fulani
Hapo mwanamke kafikiria
Nimetokwa na damu sana
Miaka mingi nimevumilia
Bila kuona faraja
Dakitari wamejariibu
Nishauza kila kitu
Nyumbani mimi mchafu
Wananiona mi si kiitu
Dakitari wamejariibu
Nishauza kila kitu
Nyumbani mimi mchafu
Wananiona mi si kitu
Basi songa songa songa nimguse
We songa songa songa
Nachotaka nitapata kwa Yesu
wewe tu
Kwa Yesu
Nitapata kwa Yesu
Wokovu wangu
Kwa Yesu
Nitapata kwa Yesu
Uponyaji
Kwa Yesu
Ndani Yake Yesu
Wewe tu
Kwa Yesu
Eeehh
Nimekukimbilia Wewe nisiaibike milele
Nimekutazamia Wewe muujiza wangu nipewe
Kwako napata uzima kwako napata furaha
In you I live and move and I have my being
Yah yah yah yah
Nikikuomba mkate huwezi kunipa jiwe no aah
NIkikuomba samaki huwezi kunipa nyoka eh
Nina imani na We we we we we
Nina imani na wewe Bwana wangu
Sina mashaka nawe sina mashaka nawe
eh aah eh
Sina mashaka nawe sina mashaka nawe
Nachotaka nitapata kwa Yesu
Wewe tu
Yesu
Amani kwa Yesu
Ehe
Yesu
Nachotaka nitapata kwa Yesu
Weye Yesu
Ooh ntapata kwa Yesu YesuYesu
Ehh nitapata ehh
Ooh nitapata
Nachotaka nitapata kwa Yesu
Nachotaka nitapata kwa Yesu
Wewe tu
Yesu
Yesu
Wokovu wangu
Yesu
Eeh nitapata kwa Yesu
Uponyaji
Yesu Amani
Amani Yesu
Wewe tu
Yesu
Nitapata kwa Yesu
Amani furaha uponyaji afya njema
Yesu
Yesu
Nitapata kwa Yesu
No comments:
Post a Comment
Write a correction.