Baba wa mbinguni ,nyoosha mkono wako
(Father in heaven,stretch out your hand)
watu wakuone ,watukuze jina lako
(that people may see it ,and glorify your name)
Baba wa mbinguni ,nyoosha mkono wako
(Father in heaven,stretch out your hand)
watu wakuone ,watukuze jina lako
(that people may see it ,and glorify your name)
shuka yesu,shuka yesu eeh
shuka yesu ,shuka yesu eeh
Mwanzo 18:21
Hivyo nitashuka kwenda huko nijionee mwenyewe kama kweli wamefanya kadiri ya kilio kilichonifikia. Nataka kujua.”
Katika lango la mwaka 2025 tumeona ni vyema tumwite Yesu ashuke kwaajili yetu mwaka huu
Akishuka shida zetu, changamoto zetu na kilio chetu vyote vimepata majibu
Je ungetamani YESU ashuke kwako mwaka huu??
Karibu tubarikiwe na wimbo huu
No comments:
Post a Comment
Write a correction.