Pages

Wednesday, April 15, 2015

UMENIFANYA NING'ARE LYRICS AND TRANSLATION BY CHRISTINA SHUSHO

CHORUS:

Umenifanya ning’are, umenifanya ning’are (You make me shine)
Umenifanya ning’are, Yesu (Jesus You make me shine)

Wewe waitwa nuru, eti nuru ya watu (You are called the light of men)
Ukiingia kwangu, mi nang’ara (I shine when you are in me)
Ndani ya hiyo nuru, eti kuna uzima (There is life in that light)
Ukiingia kwangu, nina uzima (I live when you are in me)

Uso wake Yesu, sura yake Mungu (The face of Jesus, the face of God)
Umeingia kwangu, mi nang’ara (I shine when You are in me)
NUru ya injili, utukufu wake Kristo (The light of the Gospel, the Glory of Jesus)
Umeingia kwangu, mi nang’ara (You are in me, and so I shine)

Umenifanya ning’are, umenifanya ning’are (You make me shine)
Umenifanya ning’are, Yesu (Jesus You make me shine)

Umenifanya ning’are, umenifanya ning’are (You make me shine)
Umenifanya ning’are, Yesu (Jesus You make me shine)

inuka uangaze we, nuru yako umekuja (Rise and shine, your light is here)
Utukufu wa Bwana, umekuzukia (The glory of the Lord is upon you)
Mataifa watakujia, wafalme watakuja (Kings and nations will come)
Utukufu wa Bwana, umukuzukia we (The glory of the Lord is upon you) 

1 comment:

Write a correction.