Baraka yako ,
(your blessings)
inaleta furaha na amani, (brings happiness and
peace)
haina huzuni x3
(no worries)
Ufanisi wako,
(you
prosperity)
unaleta furaha na amani, (brings happiness and peace)
hauna huzunix3
(has no worries)
Neema yako,
(your grace)
inaleta furaha na amani, (brings happiness and peace)
haina huzunix3
(has no worries)
Na roho wako ,
(your spirit )
analeta furaha na amani , (brings happiness and peace)
hakuna huzunix3
(no worries)
Jamii yangu,
(my community)
inaleta furaha na amani, (brings happiness and peace)
hakuna huzunix3
(no worries)
Na kazi yangu,
( my job)
inaleta furaha na amani, (brings happiness and peace)
haina huzunix3
(has no
worries)
Baraka yako, (your blessings)
inaleta furaha na amani, (brings happiness and
peace)
haina huzuni x10
(has no
worries)
No comments:
Post a Comment
Write a correction.