Pages

Monday, October 19, 2015

COCO BATA LYRICS BY ELLY THOMAS




Ooh ii coco bata sirudi, eeh,
 nimepata kipenzi,niko naye milele,
(I have got an everlasting friend)
ilikuwa kama ndoto,kuamini siwezi,
(it appeared like a dream,I can’t believe)
 nililia kama mtoto ai aix2(I cried like a child)
  kwani  niliowaenzi,(because of those I trusted)
 ikawa kula siwezi,(I was unable to eat)
 kulala siwezi ,sababu mapenzi,
 (I had sleepless nights because of love)
walinidrive crazy me,(they drove me crazy)
 ikabidi mapenzi, kumbe ni wezi,
(only to realize they were thieves)

(refrain)
Ila sasa( basi x2), ii no more kulia kulia,
(but now ,no more weeping)
 nimepata rabii, rabii ooh moyo tulia tulia,x2
(my heart is at peace ,I have got a rabi)
Mpenzi wangu ananitengeza ,(my friend who makes me)
mpenzi huyu ananipendaga(a friend who loves me)
Mpenzi yesu anabembeleza sana ,(jesus who cares)
zaidi ya mama aa(more than a mother)
Kanipenda nampenda yesu nax2,(He loves me I love Him)
 mi mwenzio  kwake nimedata ,
maisha tamu zaidi ya coco bata,(good life of coco bata)
 penzi la kweli nami kwake nimepatax2
 (I have got true love from Him)

verse2
Amenidhibiti ,(controls me)
kwa yake mapenzi ,(in His love)
kumwacha siwezi,siwezi(I can’t leave him)
Akanichombeza, akanichombeza,
 mbali siendi,I(I can’t go far)
wale vifirigisi wenye ulafi wa fisi, kwao sirudi,
(I can’t go back to those greedy fake friends)
 vidoda walionitonesha ,(they left me with wounds)
wakanipa pressure nami sina budi
(they gave me pressure ,I have decided)
(Refrain)




Verse3
Ooh, vidoti sitaki ,(I don’t want fake friends)
nimepata mpenzi, (I have got a friend )
kweli wa roho yangu(a true friend to my heart)
coco bata sirudi,
 mpenzi wa roho ni yesu,(jesus is a true friend)
 nimeona nikupende niwe nawe milele
(I have decided to love you forever)
(Refrain)x5

No comments:

Post a Comment

Write a correction.