Pages

Saturday, October 31, 2015

FAHAM NIKIPRAISE BY WEEZDOM

Asante sana God,
ndio naanza nafahamu,
asanti sana ,asanti kwa hii zamu,
(refrain)
Ukicheki mimi nikipraise,
basi we( fahamux2) ,leo nikufyam
Ukicheki me nikipraise basi we( fahamux2),
jehova amaenibless x2
Verse 1
Everyday nashukuru,
nakupenda sana kwa ajili umenisurround
Kipindi cha mapito ulinifanya nikasurvive,
walisema siwezi ukanifanya nikasimama,
nikiwa ghetto ulikuja ukanichukua,
ukanipangunza machozi,
ukanipea tabasamu,
bila kunizungusha
ukanitoa kwenye taabu ,
tena hukunilipisha ukanifanya niwe huru,
True, umenibless sina buru,
kila time utanifanya nikae kwenye nuru
Nikitembea nitatembea nawe,
tukishine kama stars over land
(to the sea x2)
(Refrain)
Verse2
'J' to the 'E' to the 'S' to the 'US',
Amenifanya mission mission zangu success ,
sitaki tena hii riba ya kutragress
nikiwa naye me najua nitaprogress,
waliliaga kinigoteagotea,
nikakutana na God akanipatia hug,
ngori zikatupiliwa mbali ,
akanisamehe akanipea kibali ,
sina time na hizi epi za dunia,
ju, nimegundua kwake ndio kwangu nyumbani,
me sihitaji kujipendekeza kwako ,
nimejua kwako ndio kwangu kwejani
(Refrain)
Verse3
Lipi we nika wali bila mchele,
masai bila mshale ,ama train bila reli
je, yaani wali bila mchele ,
masai bila mshale,ama train bila reli
(Refrain)x4

No comments:

Post a Comment

Write a correction.