Wengi
wajiuliza,
ni kwanini nalia kila time,
wengine wajiuliza,
hivi kwa nini naweep kila time,
(sio kama publicity stunt,
sio kama naomba huruma)x2
(Ni
swali ngumu kabisa ,
lakini
willy nitajaribu kujibu maswali)x2
Kama
sio mungu ,ooh ningemalizika,
kama baba ,ooh ningemalizika,
kama sio mungu, ooh ningekwisha mimi,
kama sio baba willy ningekwisha mimi
(refrain )
(Hukuniacha
muhathara ,
na
ata humu mathare,
mpaka kule kampala,
hukuniacha rabana wee)x2
({
hukuniacha}x3 rabana we)x2
Verse 2
Je,
wimbo wa lala salama una maana gani,
mdogo mbona ukaamua kuandika wimbo huu,
wenye huzuni hivi,
Lala
salama ni wa baba wange,
my late daddy, aliniwacha mimi,
nikiwa mchanga kwenye ministry ,
uu
lala salama ..aa
Uu
ndugu yangu, umeniweka maumivu moyoni,
sikujua kwamba maana ulikuwa ni huo,
naomba nikuulize swali la mwisho,
na sitaendelea kwa maana sitaki kulia zaidi ,
najikuta
nikilia, sa nakuuliza,
u never know ina maana gani
Maishani
mwangu sijawai give up ,
ata
mara moja ,
nilipoenda
studio na kufukuzwa nilirudi tena ,
ata
na wewe pia husiwahigive up (know)x3
coz (u never know)x6,mungu anakupenda
(Refrain)
Kama
chuki ungekuwa ni bidhaaa ,
wengi
wangefaulu kwangu)x4
nana…eeeh hukuniacha…
No comments:
Post a Comment
Write a correction.