Hakuna wa kufanana na Yahweh(no one to be
like God)
(hakuna wa kufanana naye)(no one to be like Him)
Hakuna wa kufanana na mungu(no one to be
like God)
(hakuna wa kufanana naye)(no one to be like Him)
Tena yeye anaweza,(yeye anaweza)x2(He is a
able God)
(hakuna wa kufanana naye)(no one to be
like Him)
Tena yeye aokoa baba,(yeye aokoa)x2(He
saves)
(hakuna wa kufanana naye) )(no one to be
like Him)
Tena yeye abariki mungu, (yeye
abariki )x2(He blesses)
(hakuna wa kufanana naye) )(no one to be
like Him)
Tena yeye atawala Yahweh,(yeye atawala )x2(God
rules)
(hakuna wa kufanana naye) )(no one to be
like Him)
Tena yeye jemendari wetu,(yeye jemendari)x2(He is our commander)
(hakuna wa kufanana naye) )(no one to be
like Him)
Nasema hakuna wa kufanana na baba)(no one
to be like father)
(hakuna wa kufanana naye) )(no one to be
like Him)
Tena hakuna wa kufanana Yahweh,( no one to
be like God)
(hakuna wa kufanana naye) )(no one to be
like Him)
Tena yeye ainua mungu,(yeye ainua)x2(God
uplifts)
(hakuna wa kufanana naye) )(no one to be
like Him)
Tena yeye ni mshindi wetu,(yeye ni mshindi)x2(he is our conqeuror)
(hakuna wa kufanana naye) )(no one to be
like Him)
Tena yeye ni mwalimu wangu,(yeye ni mwalimu)x2(he is my teacher)
(hakuna wa kufanana naye) )(no one to be
like Him)
(Refrain)
(Na ijulikane kwamba yupo, mungu
wa uwezo) x2(naijulikane)
(let it be known that
there is a able God)
Anayejibu maombi(refrain)(God who answers prayers)
Anayetikisa ufalme(refrain)(God who shakes kingdoms)
Anayekomesha adui(refrain)(who silences enemies)
anayetupigania, (refrain)(who fights
for us)
anayevunjavunja ngome(refrain)(who breaks down devils kingdoms)
anayeangamiza mapepo(refrain)(who silences evil spirits)
(refrain)x5
kweli mungu ni mshindi
ReplyDeletean edifying song @2022