(Refrain)
({Jehova yu mwema}x3 ,(God is good )
yu mwema kwangu)x2(He is good to me)
verse1
Amenisamehe,(He has forgiven me)
amenitakasa ,(He has sanctified me)
ameniokoa,(He has saved me)
Amenilinda, (He has taken care of me)
ndio maana ninaimba,(So i sing)
( jehova yu mwema )(God is good)
(Refrain)
Verse2
Anabariki,(He blesses)
anainua,(He lifts)
anaponya ,(He heals)
anakumabuka watu wake,(He remembers His
people)
ndio maana ninasema,(so I say )
jehova yu mwema(God is good)
(Refrain)
Verse3
Ninamshukuru,(I thank Him)
ninamuinua,(I exalt him)
ninamuabudu,(I worship Him)
Ninamtukuza, ,(I worship Him)
ndio maana ninaimba, ,(so I say )
jehova yu mwema)(God is good)
(refrain)
Verse4
Ninasujudu, mbele za mungu (I bow before
God )
ninanyenyekea ,kwa wema wake ,(I humble
for His goodness)
ndio maana ninasema,(so i say)
jehova yu mwema( God is good)
(Refrain)
Ngai ni museo,ninimwendete ( God is good,I
love Him)
(Refrain)
Verse5
(Tunakuabudu baba,(we worship you father)
wema wako unapita maarifa ya wanadamu)x2
(your goodness is beyond human understanding)
tunakuabudu wewe ,(we worship you )
umekuwa mwema kwetu,(you have been good to
us)
Neno lako linasema , (your word says)
kama mungu hangekuwa upande wetu ,(if God
was not on our side)
wacha Israeli iseme,(let Israel say)
lakini wewe umekuwa mwema ,(but you have been good)
umetupigania, (you have fought for us )
umetutetea baba,(you have defended us)
umetulinda,(you have watched us)
umetupa afya ,(you have given us good health)
umetupa na kipawa cha kuishi,(you have
given us gift of life)
asante kwa uaminifu wako,(we thank you for your faithfulness)
asante kwa matendo yako
makuu ,(thank you for your great deeds)
tunakuabudu baba,(we worship you father )
ooh pokea sifa.(ooh receive praise)
No comments:
Post a Comment
Write a correction.