Pages

Monday, October 5, 2015

NOIKOE MOLA LYRICS AND TRANSLATION BY PASTOR ANTHONY MUSEMBI



(Refrain)
(Tena eeh nimejaribu,(again I have tried)
sioni mimi nikiweza tena ,(I can’t manage this mess)
yote namuachia mola ,eeeh)x2(I surrender all to God,Ee..eeh)

verse1
palikuwa na mtu mmoja, (there was one man )
alikuwa na wana wawili, (who had two sons)
wote walipendana ,sana naye akawatunza , (they lived happily)
Yule mdogo akamwendea ,akamwabia baba yangu,
 nipe mali na uridhi wangu,(the younger asked for his share of inheritance)
 baba naye hakusitasita, akampa Yule kijana ,
(the father did not hesitate to give him his portion)
kijana naye akakusanya, mara moja akaanza safari,
 akaenda nchi ya mbali(the son set off for a distance far country)
(refrain)




Verse2
Baada ya muda mchache,(not long after)
 kijana naye akala na mabeshte,(he squandered his wealth)
 akaharibu maisha yake na anasa ,(he messed up his life,in wordly pleasures)
na usherati na ugaidi ,(prostitution and terrorism)
marafiki nao walikuwa wengi,(with many friends)
 wakapodapoda mali, wakapepeta pesa yake
(they squandered the wealth and money)
 kama siafu jangwani(like ants in the desert)
 pesa ikaliwa na wengi, (they invaded his possesions)
mara moja ile pesa nayo ikaanza kuisha (he spent everything)
maswahiba wa pesa ,wakaanza kupotelea (the gold diggers disappeared)
(refrain)
Verse3
Uraibu una majuto ,(simple living has consequences)
kama kweli ,asiye sikia ya mkuu huvujika guu,
(truly disobedience has consequences)

Maisha yalibadilika, (things changed)
shida na umaskini,(poverty and suffering)
 akatafuta riziki,(he hired himself out)
 akaanza kula na nguruwe,(to feed pigs)
 kazi iliyopatikana, ilikuwa ya kulisha nguruwe,
(he filled his stomach with swine pods)
 marafiki wamemtoroka,(friends left him)
 machoni hafai tena,(he looked worthless)
 kijana huyu akateseka akaagaika sana , ,(he suffered so much)
akaazimia moyoni wacha nimrudie baba, ,(he decided to return to the father )
pengine atanisamehe,(he may have mercy)
 baba wewe niokoe (father save me)
(Refrain)
Verse4
Ata na sisi tukikosa,(when we go wrong)
tumrudie maulana ,(lets come back to God)
tutubu dhambi zetu,(we repent our sins)
naye atatusamehe, (he will save us)
kumbuka ni wapi umekosa, utubu makosa yako, (repent your sins)
baba yeye ni mwaminifu , atakuokoa(God is faithful ,he will save you)
(Refrain)

Niokoe baba(save me ooh lord)
Nisamehe (forgive me ooh lord)
Niokoe baba,(save me lord)
 nimefika mwisho,baba (I surrender father)
(Refrain)

No comments:

Post a Comment

Write a correction.