Mungu wa Baraka ni wewe ,(you are a God of
blessings)
(husinisahau baba)(don’t forget me father)
Mungu wa ahadi ni wewe ,(you are a God of
promises)
(husinisahau baba) (don’t forget me
father)
Mungu wa maombi ni wewe,(you are a God of prayers)
( husinisahau baba) (don’t forget me
father)
Eeeeh husinisahau baba, uuuh husinisahau baba)x2)
( Eeeh ..don’t forget me father)
Bwana wewe ndiwe wokovu wangu,(God you are
my salvation)
msaada wangu na kimbilio,(my aid and my
refuge)
ahadi zako umezitimiza (you have fulfilled my promises)
Umeniumbia moyo safi(you have created in
me a pure heart)
(Refrain)
Niende wapi mbali na uso wako ,(I can’t
run away from your face)
kwa neema wewe uko nami ,(by your grace
you are with me)
maisha yangu unatawala,(you rule my life)
uhai wangu unamiliki baba,(you own my life)
uu.. husinisahau baba)( uuh ..don’t forget
me father)
(Refrain)
Uniongoze kwa njia zako,(lead me in your
ways)
nikuitapo husinyamaze,(when I call upon your name answer me)
makosa yangu nisamehe baba ,(father forgive
me)
maadui zangu wabariki jehova,(lord bless
my enemies)
(Refrain)
Mungu wa wafungwa ni wewe,(you are God of
prisoners)
(husiwasahau baba)(don’t forget them
father)
Mungu wa watasa ni wewe ,(you are God of
barren women)
( husiwasahau baba)(don’t forget them
father)
Mungu wa yatima ni wewe,(you are God of
orphans)
( husiwasahau baba)(don’t forget them
father)
Mungu wa waimbaji ni wewe,(you are God of singers)
(husitusahau baba)(don’t forget us father)
Mungu wa chokora ni wewe,(you are God of
street children)
( husiwasahau baba)(don’t forget them
father)
Mungu wa kanisa ni wewe,(you are God of
the church)
( husitusahau baba)(don’t forget us father)
Mungu wa wakenya ni wewe ,(you are God of
the Kenyans)
(husitusahau baba)(don’t forget us father)
Mungu wa afrika ni wewe,(you are God of
the Africa)
( husitusahau baba, )(don’t forget us
father)
(Eeh husitusahau baba,uuh husitusahau baba)x6
(eeeh…don’t forget us father)
No comments:
Post a Comment
Write a correction.