Zipo
sheria pia amri za barabarani,(there are rules and
regulations)
zitupasazo kuzitii tukiwa safarini,(we have to respect during the journey)
kinachoshangaza muda mwingi tunasahau,(surprisingly ,we often forget that)
Kuwa
hizo amri zipo kwa usalama wetu,(these rules are meant
for our own safety)
Ndio
sababu ,unawaona madereva ,(that’s why you see drivers)
wakiendesha
kwa kuchungana na polisi,(drive keeping an eye on
traffic police)
mwendo mkali bila kujali chochote,(speed driving ,not giving a damn,,caring nothing about)
Maisha
yake ata maisha ya wengine,(be it their life or that of
others)
pale
atakapo muona askari kwa mbali,(and when they sight a
cop from a distance)
atajifanya kuzijali amri na sheria,(they pretend to respect the rules and regulations)
kusudi ampendeze askari huyo,(to please him {the policeman})
ila sio kwamba ajiepushe na ajali (but not because they want to avoid accidents)
(Refrain)
Hivyo
ndivyo ilivyo ,sheria ya mungu,(in the same way it
applies to Gods commandments)
iko kwa usalama wetu,(they
are meant for our own safety)
Mungu
mwenyewe, haimsaidii kwa lolote ,(they don’t benefit
God ,)
ila
ni kwa faida yetu,(they are for our own good)
lakini siku hizi za mwisho yapo mafundisho,(but in these last days ,there some teachings)
ya kwamba amri zake mungu hazifai tena,(saying that God scommandments are nolonger worth)
husidanganyike
ndugu msafiri mwenzangu ,(be not deceived fellow passenger)
bila
amri ya mungu hatutafika salama (without Gods
commandments we cannot arrive safely)
verse2
Katika
safari hii ya wokovu twahitaji,(in this journey of
salvation we need)
Mwongozo
tuekwe sawa na jamii ya mbinguni,(guidance so as tobe fitted for heaven above
Kama
ni kweli twaudhamini wokovu ule,(if we really value
that salvation)
basi tutazishika amri kwa usafi wetu,(we will uphold the commandments that we may be pure)
kama ni kuiba madhara yake, twayajua,(stealing has consequences and we all know that)
je usizi matunda yake yako wazi ,(what of adultery?aren’t its fruits obvious)
husidanganye
,kumbuka pale ulipodanganya,( do not lie,remember when
you lied )
na jinsi ulivyokosa amani moyoni,(and the way you lost peace of mind)
Jambo
hili li wazi kwamba jamii yoyote,(its obvious that each
society)
Uwa
na utamaduni pia desturi yake,(is guided by aculture
and customs)
kwa hiyo kazi zake amri na ile sheria,(similarly, His work ,statutes and commandments)
ni kutuzoeza
na utamaduni wa mbinguni,(are meant
toacclimatize us to heavens culture)
verse 3
Dalili
moja kama kweli una mpenda bwana ,(as assign tha you
really love the lord)
Utawafundisha
watu kuzitii amri zake,(you will teach others to obey
his commandments)
ata bwana mwenyewe kwa kinywa chake asema ,(and the lord himself in His own words says)
kama
kweli mwanipenda mtazitii amri zangu ,(if you truly
love me ,you will obey my commandments)
hivo
yatupasa wote tuliokombolewa ,(therefore,for all of us
who are saved)
Tujizoeze
nayo desturi ya nyumbani,(its our duty to practice
customs of our homeland)
Punde ,safari itafikia mwisho wake,(soon the journey will come to an end)
anayo heri atakaye fika salama ,(and blessed is he who will reach safely)
wewe
uhubiriye neno ni kama dereva ,(you,mr preacher..,you
like a driver)
tena wale wafuasi wako ni abiria,(and your followers are like passengers)
wapaswa kuzidhamini sheria za huku njiani,(you have to appreciate traffic rules)
Ili
ufike salama na abiria wako(so that you can reach
safely with your passengers)
(Refrain)x2
No comments:
Post a Comment
Write a correction.