(refrain)
(Tunakuabudu,
bwana aaa
Tunakuabudu,
mwenye uweza
Tunakuabudu
,bwana
Hakuna
kama wewe ,bwana)x4
Verse1
Matendo
yako kwangu ni ya milele
Wewe
wastahili, heshima dhamana nguvu
Uweza
wako ,washangaza mataifa yote ,
wewe
ni mungu mkuu,
Wastahili
heshima ,
(Refrain)
Tunakuinua
(Halleluya)x10
Wewe
ni bwana
(refrain)
Hakuna
kama wewe
Tengemeo
letu
Wastahili
kusifiwa
Umetenda
Uweza
wako ni wa milele
(hakuna
kama wewe bwana)
No comments:
Post a Comment
Write a correction.