Verse1
Wewe ni mungu mkuu ,
mwenye kutenda mema,
mapito yako ni mema
umejawa na wema
fadhili nazo rehema x2
nami sasa nasema  asante
verse2
nyota ya asubuhi (yesu)
mfalme wa amani, (yesu)
jiwe la pembeni , (yesu)
mwanzo tena mwisho (yesu)
verse3
sifa zote baba chukua  baba zote
chukua
na utukufu chukua wastahili chukua
mamalaka yote yahweh chukua  baba 
yote chukua
nayo heshima chukua wastahili chukua,
(repeat all)
(twakuinamia  ee Yahweh,
 twakuchezea masiah,)x2
kama we wapenda yesu (cheza) X3,
inua mikono umsifu (sifu)X3,
[kulia kushoto tuna- (cheza) x3
na mbele na nyuma tuna -(sifu) X3 ] X2
[Mwenye baraka- (aimen)
Mwenye uzima-(aimen)
Mwenye faraja -(aimen)
Mwenye mamlaka- (twende) ] X2
 
kama we wapenda yesu (cheza) X3,
inua mikono umsifu (sifu)X3,
[kulia kushoto tuna- (cheza) x3
na mbele na nyuma tuna -(sifu) X3 ] X2
[Mwenye baraka- (aimen)
Mwenye uzima-(aimen)
Mwenye faraja -(aimen)
Mwenye mamlaka- (twende) ] X2
No comments:
Post a Comment