Pages

Wednesday, November 18, 2015

CHUKUA LYRICS BY ALICE KIMANZI




Verse1
Wewe ni mungu mkuu ,
mwenye kutenda mema,
mapito yako ni mema
umejawa na wema
fadhili nazo rehema x2
nami sasa nasema  asante

verse2
nyota ya asubuhi (yesu)
mfalme wa amani, (yesu)
jiwe la pembeni , (yesu)
mwanzo tena mwisho (yesu)
verse3
sifa zote baba chukua  baba zote chukua
na utukufu chukua wastahili chukua
mamalaka yote yahweh chukua baba  yote chukua
nayo heshima chukua wastahili chukua,
(repeat all)

(twakuinamia  ee Yahweh,
 twakuchezea masiah,)x2


kama we wapenda yesu (cheza) X3,
inua mikono umsifu (sifu)X3,

[kulia kushoto tuna- (cheza) x3
na mbele na nyuma   tuna -(sifu) X3 ] X2


[Mwenye baraka- (aimen)
Mwenye uzima-(aimen)
Mwenye faraja -(aimen)
Mwenye mamlaka- (twende)  ]  X2
 

No comments:

Post a Comment

Write a correction.