Pages

Friday, November 20, 2015

HAKUNA KAMA WEWE LYRICS BY LADY B





Verse1
Baba wetu uliye mbinguni,
 jina lako litukuzwe ,hakuna kama wewe ,
mwokozi wangu, alfa na omega,
mwanzo tena mwisho ,
hakuna kama wewe,mwokozi wangu,
 unayenipenda ,kanifilia ,
hakuna kama wewe ,mwokozi wangu
Uliye niokoa,mi nilikuwa mpotevu,
 hakuna kama wewe, mwokozi wangu
Ooh kweli hakuna

(refrain)
Hakuna kama wewe x4
Yesu wangu
mwokozi  wangu





verse2
Umejawa na rehema yesu ,
na neema, hakuna kama wewe,
 mwokozi wangu ,uketiye kitini cha enzi ,
viumbe wanne wazunguka,usiku na mchana
 wasema mtakatifu mtakatifu,
Mtakatifu mwana kondooo wa mungu ,
aondoaye dhambi za dunia,
Asante mwokozi kwa damu yako
Umejawa na rehema ,
na neema, hakuna kama wewe yesu

(refrain)

Halleluyah (yesux5)x4
Ooh ita baba (babax5)x4
Ooh roho(rohox5)x4
Ooh hossana (Yahwehx5)x4

No comments:

Post a Comment

Write a correction.