Pages

Sunday, December 20, 2015

TIMIZA LYRICS BY ALICE KAMANDE



 (Refrain)
Timiza x2
Nitatimiza mi ni mwaminifu wako,
Baba tenda x2
Nitatenda maneno niliyosema,
Kwako miaka elfu ni kama siku ,
Na siku ni kama elfu,
Ninangoja x2 sana

Verse 1                
Ninaona kama umekawia sana ah,
Ninahisi kama niko pekeangu,
Kweli niko kwenye giza totoro gani hili,
Nimebeba mizigo mizito nimechoka,
Nimulikie mwanga uliosema baba yangu
Uko wapi nakungoja sana eh,
Kuja uniokoe kutoka kwenye hili janga,
Nakungoja x2 sana

(Refrain)
Verse 2
like the woman with the issue of blood,
I feel like you taking so long to touch me,
But i hear you passing by oh
I know my day has come
and whatever it takes

(il touch the helm of your garment
for my healing,for my miracle)x2

(Refrain)
Baba tenda eh oh

No comments:

Post a Comment

Write a correction.