Pages

Sunday, December 20, 2015

EE MWOYO LYRICS BY DANNY GIFT



                      (refrain)
        Ee mwoyo jesu ee mwoyox3
Nigio nitwaina notondu ee mwoyo
                  
Verse 1
Ilianza pale msalabani kanifilia,
Kwa ajili ya upendo ,
Nakumbuka zama zile
walikuweko wazuri zaidi ya mimi,
ata misumari,haingeweza kukushililia,
ata na wale askari,hawangeweza kukuzuilia,
walidhani kaburi ndio mwisho,
ole wao wao wale wale hao,
kumbe ndio mwanzo tu
leo nina sababu ya kuimba hello sawa sawa
nikiwa nawe kwangu salama
hello kwangu salama (kwangu salama)
                      (refrain)

Verse 2
Sielewi jinsi ulimtoa mwana wako kaja kaniona sana,
Leo niko salama, kwako pokea na sala,
Jinsi nilivyo kanipenda sana,
Name nikapenda pia ikawa tumependana sana,
walidhani kaburi ndio mwisho,
ole wao wao wale wale hao,
kumbe ndio mwanzo tu
leo nina sababu ya kuimba hello sawa sawa
nikiwa nawe kwangu salama
hello kwangu salama
                      (refrain)




No comments:

Post a Comment

Write a correction.